India imekuwa ikiongoza kwa muda mrefu katika orodha ya nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watoto wenye utapiamlo duniani. Sasa inazidi pia kuripoti viwango vya kutisha vya kunenepa kwa watoto ambavyo, ...
Ripoti kuhusu hali ya watoto duniani iliyochapishwa na shirika la wahisani linaloshughulikia haki za watoto la Save the Children inaonyesha maendeleo makubwa katika sekta za afya, elimu na usalama ...