Jumuiya ya wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) nchini Tanzania imetoa tamko la kusikitishwa kwakwe na matukio ya watu kupotea au kudaiwa kutekwa, kikisema hali hiyo inatishia uhuru wa ...
Mnamo mwaka 2009, jina la Aneth Gerena Isaya lilipasua vichwa vya Habari kadhaa nchini Tanzania, wakati wa sherehe za mahafali ya chuo kikuu cha Dar es Salaam, kwa kuwa alikuwa mtu wa kwanza asiye na ...